Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible

Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible Free App

Rated 0.00/5 (0) —  Free Android application by Red Apps

Advertisements

About Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno la Kigiriki βιβλια, "biblia" ambalo ni wingi wa neno "biblos" yaani "kitabu".
Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania. Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".
Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.

MAANDIKO YA KIGIRIKI YA KIKRISTO

Mathayo
Marko
Luka
Yohana
Matendo
Waroma
1 Wakorintho
2 Wakorintho
Wagalatia
Waefeso
Wafilipi
Wakolosai
1 Wathesalonike
2 Wathesalonike
1 Timotheo
2 Timotheo
Tito
Filemoni
Waebrania
Yakobo
1 Petro
2 Petro
1 Yohana
2 Yohana
3 Yohana
Yuda
Ufunuo The Christian Bible is a collection of sacred texts of Christianity. These texts range from the very old are called "books" just inavyomaanishwa βιβλια the Greek word "bible" which is the plural of the word "biblos" a "book".
Hutofautishwa and Tanakh, which is the sacred texts of Judaism and which probably refers to the same name of the "Bible", especially in the versions of the Hebrew Bible. His books listed in the first part of the Christian Bible in the name of the "Old Testament".
Christian Bibles are distributed to the two parts which are the Old Testament and the New Testament. The Old Testament contains texts written before Jesus Christ and the New Testament books were written after him.

Christian Greek Scriptures

Matthew
Mark
Luka
John
Acts
Romans
1 Corinthians
2 Corinthians
Galatians
Ephesians
Philippians
Col.
1 Thessalonians
2 Thessalonians
1 Timothy
2 Timothy
Tito
Philemon
Hebrews
James
1 Peter
2 Peter
1 John
2 John
3 John
Judah
Revelation

How to Download / Install

Download and install Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible version 1.0.0 on your Android device!
Downloaded 100+ times, content rating: Everyone
Android package: biblia.takatifu.kiswahili.swahili.bible, download Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
2.3+
For everyone
Android app


Oh snap! No comments are available for Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible at the moment. Be the first to leave one!

Share The Word!


Rating Distribution

RATING
0.05
0 users

5

4

3

2

1