Millard Ayo

Millard Ayo Free App

Rated 4.54/5 (270) —  Free Android application by Millard Ayo

Advertisements

About Millard Ayo

Kazi yangu ni kukusogezea BREAKING NEWS zote, habari za mastaa, maisha, picha na videos, habari za michezo na mengine SAA 24. Habari zote za millardayo.com zinapatikana hapa kirahisi na utapata notification kila habari mpya inapoingia.

KARIBU MTU WANGU WA NGUVU

Never Miss An Update!

Follow Android Blip on Facebook / Google+


Download / Install

Download and install Millard Ayo version 0.2.0 on your Android device!
Downloaded 100,000+ times, content rating: Everyone
Android package: com.millard.ayo, download Millard Ayo.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
4.0.3+
For everyone
Android app

App History & Updates

What's Changed
App hii imeimarishwa mtu wangu wa nguvu huku habari zikisomeka kwa urahisi.

What are users saying about Millard Ayo

Q70%
by Q####:

Elewa san

G70%
by G####:

It is OK

S70%
by S####:

Exactly milad ayo

L70%
by L####:

Too mch ads

T70%
by T####:

Wonderful app for news

I70%
by I####:

A good app

U70%
by U####:

We Together

V70%
by V####:

Alfred anthony

D70%
by D####:

Safi kaka

W70%
by W####:

Nice app

Z70%
by Z####:

Awesome

A70%
by A####:

Good

R70%
by R####:

good

J70%
by J####:

Good

Y70%
by Y####:

App ni kali sana broo nashukuru kwa news updates na layout yake inavutia,.ila mi nna tatizo moja tu kaka! Hii app font yake ni ndogo sana kwenye tablet yangu hivyo inanipa shida kwenye kusoma habari na kuview zike videos inakuwa ni tabu kidogo kutokana na size ni ndogo sana. Sijaona settings za kusolve hili tatizo kwenye hii app. Please! Naomba unisaidie kusolve hili tatizo so i can rate it 5 stars. Ni hayo tu kaka. Ahsante

F70%
by F####:

Nimewapa 5 kwasababu mmerekebisha maandishi yako poa now naweza soma vizuri

C70%
by C####:

Wating for more improvement.☺

E70%
by E####:

Nzuri sana milladiayo umejitaidi bro

N70%
by N####:

Good.. You will love it

H70%
by H####:

Achilia mbali kutusogezea hebari pia Millard umekua inspiration kwa watu weng, nilkua napenda utangazaji lakini wewe umenifanya nipende zaidi hadi kuusome na sikuzote we ndo ndo naktazamia na nnataman nije kua kma ww au hata kufanya kazi na ww. Much love m2 wang wa ngvu.

K70%
by K####:

Thanks kaka millard kwa kutuletea habari tena kiganjani mwetu na ama kweli wewe kwetu ni damu damu milele.. Mungu akabariki kazi za mikono yako millardayo!!!!

O70%
by O####:

Asee mkuu ebu rekebisha kwenye font(maandishi) madogonsana habari hazisomeki zinaonekana vidunchu hata video zinaonekana vidogo sana na kuzoom haiwezekani tofauti na ile ya zamani hii unasoma kwa shida maana maandishi ni madogo tusaidie katika hilo vitu vingine vyote viko sawa!! Ahsante!"

X70%
by X####:

Thanx my big boss Millardayo kwa kusogeza app Kali kama hii mtu wangu habari zote tunazipata kwa urahisi mnoo mungu akubariki.

P70%
by P####:

Awesome blog app with awesome blogger millard ayo keep it more hundred *nadhani siku moja tutafanya kazi pamoja napenda sana mass communication* 88.0 Tabora kid*

Z70%
by Z####:

Brother Millard ayo nakukubali sana unazidi kuni inspire niwe mtangazaji app yako iko vizuri na naamin cku moja tutakutana nikuulize na unieleweshe baadhi ya Mambo thanks sana Mungu akubariki mtu wangu wa nguvu from 88.7 Morogoro..!!

A70%
by A####:

Mdogo wangu milard hongera kwa kazi nzuri kwa kutu habarisha ila bora app ilivyokuwa kama mwanzo ilikuwa nzuri kuliko sasa .ili nikupe 5 star.na ipo slow sana matangazo yanaingiliana.

R70%
by R####:

Its okay ..but you need to update the App #Searching Tab has to be displayed there for keeping us updated of the missed story

J70%
by J####:

It's good and fast to get any information you need

Y70%
by Y####:

Good @Jonathan ForeveR.LeahFaith/TIGO Live It Love It

F70%
by F####:

inanisaidia kupata habari kwa kila wakata kwa masaa 24 tena kwa urahisi zaidi na kwa lugha ya kiswahili

C70%
by C####:

Nakupa 5stars kwa kuwa sasa App yako ni Nyepesi Mnooo... hongera kwa Updates hizii

E70%
by E####:

Ni app ya ukweli Millard but too many ads.... Kdg zinaboa

N70%
by N####:

Up vizuri sana kaka endelea kutuhabalisha kwa kile kinacho jiri ndani ya nchi na inje ya nchi

H70%
by H####:

Afadhali bana ile ya mwanzo ilikua hovyo sana..

K70%
by K####:

Ads zinaboa sana zinajaa screen nzima

O70%
by O####:

Big up masta

X70%
by X####:

It's Great!!!

P70%
by P####:

Perfectly love its

M70%
by M####:

Ipo powa sana

B70%
by B####:

It's a good app


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
4.55
270 users

5

4

3

2

1