HABARI MAKINI

HABARI MAKINI Free App

Rated 5.00/5 (1) —  Free Android application by NDIFUUST MOBILE

Advertisements

About HABARI MAKINI

Habari makini za kila aina kwa watu makini,michezo,matukio.jamii,ujasiriamali nk
Kupitia App HII ya Habari Makini utaweza kupata habari za kitaifa na za kimataifa bila kusahau habari za michezo.
1.utaweza Kupata Habari mbali mbali za kisiasa, Kiuchumi,kijamii na michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania kupitia wavuti zifuatazo;
-BBC SWAHILI
-CRI SWAHILI
-VOA SWAHILI NA NYINGINEZO

2.Utaweza kuhifadhi habari hizo na kuzisoma baadae hata kama hautakuwa na internet.

3.KUTOA Maoni; Utaweza kucomment na kushare habari na rafiki wengine ULIMWENGUNI

4.Habari papo kwa papo; BILA SHAKA Utafahamishwa habari kupitia ujumbe mfupi(Notification) katika simu yako punde zinapochapishwa MARA MOJA

APP hii imejumuisha vyanzo mbali mbali vya michezo toka katika magazeti
na blogs za tanzania kama:
-Mwanaspoti
-Dimba
-Lete Raha
-Bingwa na mengineyo

utaweza kupata taarifa moja kwa moja kwenye simu yako kila taarifa mpya zinapoandikwa.

How to Download / Install

Download and install HABARI MAKINI version 1.1 on your Android device!
Downloaded 50+ times, content rating: Everyone
Android package: com.ndifuust.habarimakini, download HABARI MAKINI.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
4.0.3+
For everyone
Android app


Oh snap! No comments are available for HABARI MAKINI at the moment. Be the first to leave one!

Share The Word!


Rating Distribution

RATING
5.05
1 users

5

4

3

2

1