Shajara Katoliki

Shajara Katoliki Free App

Rated 4.59/5 (711) —  Free Android application by Bantu Apps

Advertisements

About Shajara Katoliki

Tumsifu Yesu Kristu!

Shajara Katoliki ni kitumizi kinampa muumini Shajara Katoliki, Masomo ya kila siku ya Biblia ya Misa Takatifu katika mfumo wa Shajara, Rozari Takatifu, Sala Katoliki, Nyimbo Katoliki na Muongozo wa Sala za Misa Takatifu.


+++ NINI KIPO NDANI? +++

1. SHAJARA/ MASOMO ya Misa Takatifu ya Kila siku. Shajara Katoliki inakupa uwezo wa kuchagua masomo kwa kalenda maalumu kila siku. Unaweza kufuatlia na kuweka kumbusho la asubuhi na jioni, nawe utakumbushwa kusoma masomo wakati huo.

2. SALA za nia mbalimbali pia zimejumuishwa. Sala zinaongezwa kutokana na mapendekezo ya watumiaji.

3. Rozari Takatifu, pamoja na aina nyingine za Rozari. Sala za nyongeza za Rozari pamoja na Litania pia zipo.

4. Mwongozo wa Sala za Misa Takatifu.

5. NYIMBO za nia MbaliMbali.



+++ VITU GANI VITAONGEZWA? +++

1. Uwezo wa kusoma bila internet/ mtandao.
2. Sala za watakatifu
3. Shajara 2017
4. Muonekano Bora wa masomo
5. Uwezo wa kushare masomo na wengine

Je, una sala/ mapendekezo? Tutumie kupitia shajarakatoliki@gmail.com

Tufuatilie pia katika kurasa zetu za Facebook, Twitter na Instagram kupitia @ShajaraKatoliki

Kila la kheri katika kutumia kitumizi hiki, tupatie Ratings/ Review za alama ya Nyota 5 na washirikishe na wengine.

How to Download / Install

Download and install Shajara Katoliki version 1.2.5 on your Android device!
Downloaded 50,000+ times, content rating: Everyone
Android package: com.snsk.shajaranasalakatoliki, download Shajara Katoliki.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
4.0+
For everyone
Android app

App History & Updates

What's Changed
Shajara Ya Mwaka 2017, IMEONGEZWA!
More downloads  Shajara Katoliki reached 50 000 - 100 000 downloads
Version update Shajara Katoliki was updated to version 1.2.5
More downloads  Shajara Katoliki reached 10 000 - 50 000 downloads
Name changed  Name changed! Shajara Sala Nyimbo Katoliki now is known as Shajara Katoliki.

What are users saying about Shajara Katoliki

M70%
by M####:

muweke iwe ina load walau masomo ya mwezi mzima ilivkutupa nafasi hata kama hatuna bundle tujisomee neno???? mbarikiwe sana

A70%
by A####:

May God bless you. This is very useful sasa ni rahisi kwangu kusoma neno na kusali Rozari maana matendo ya kila siku yameainishwa kwa urahisi kabisa. Bila kusahau Litania Ya Mama Maria. ????

Y70%
by Y####:

Kiukwel nmefurah xn kuibamba app yenu mungu awabariki xn kwan nazid jiweka krb na mungu kwa sala, neno na nyimbo mbarkiwe xn

M70%
by M####:

due to network problem in some area you can make it offline

M70%
by M####:

Good app.... Please upload 1 week readings..... Jumuia uses next Sunday's reading during the days meetings... Thanks

M70%
by M####:

Sometimes there is mixup of the redings.check it.sat 30th sept.2nd oct the redindings did not match the feast of gurdian angels.

M70%
by M####:

App ni nzuri, Mungu awabariki kwa kutuletea neno lake viganjani mwetu. Jaribuni kuweka mfumo tuwe tunasoma offline!

M70%
by M####:

I wish it could published to more people as it very helpful. You dont need to carry physical books

M70%
by M####:

App ni nzur tunaomba iboreshwe hata km mtu huna Mb uweze kusoma neno au kuitumia

M70%
by M####:

Kazi nzuri Ila upande wa nyimbo hazifunguki naomba mrekebishe hilo, Na pia ningependa muweke maandishi ya rangi ili muonekano uwe mzuri Ahsanten na Mungu awabariki

X70%
by X####:

Asante sana kwa app hii itatusidia kutafakari neno kabla ya kwenda kwenye ibaada au misa takatifu

O70%
by O####:

TUMSIFU YESU KRISTO. APP NI NZURI SANA ILA INATAJI MAREKEBISHO HASA MASOMO YA SIKU INAYOFUATA HASA JUMAPILI YAWEKWE SAA 24 AU 36 KABLA YA TAREHE HUSIKA KUFIKA

Q70%
by Q####:

Tumsifu Yesu kristu. Ndugu waumini wenzangu ninhependa kushauri tuweze kuwashirikisha wakatoloki wenzetu waweza kua na app hii kwa simu zao ili nawao wakapate kubarikiwa kila siku kama mimi nawewe tunaoifurahia app hii. Hakika nifaraja sana kwa wakatoliki wa wakristu wote.

M70%
by M####:

Weka masomo kwa wakati, weka masomo yote (somo la kwanza na injili) kila siku, weka orodha ya sala kama vile sala ya Asubuhi au jioni, matumizi ya "L" kwenye "R" si mazuri. Otherwise. .. app nzuri mnooooooo!!!... Mungu akubariki

M70%
by M####:

Ipo vzuri sanaa, kama kuna bookmark yake naomba mnijuze au kama hamna basi muiweke

M70%
by M####:

App nzuri inanisaidia kujisomea neno LA kila siku popote nilipo tufunge na kusali kwaresma njema

M70%
by M####:

It's a good app but it will be more better if updated and include using it while offline

M70%
by M####:

Tumsifu Yesu kristu ,yangu ni kutoa shukrani kuu kwa walioiweka shajara kwa simu ,juu inatusaindia sana sisi wakatoliki,kwa masoma sala na maombi.Mungu mwenyezi awambariki.

M70%
by M####:

App iko vzur. Tatzo moja ukitaka kujua masomo ya siku inayofuata kwa maandalizi zaid inakuwa tatzo. Mkirekebisha then it will more pricise

G70%
by G####:

Application ni nzuri sana, hongera kwa kazi nzuri. Ila ingependeza sana tena sana tukapata Misale hii ikiwa offline, yaani isitegemee data kusoma masomo mbali mbali. Otherwise kazi nzuri

M70%
by M####:

Ni nzuri katika kujuwa masomo ya kila siku katika mwaka husika wa kanisa

M70%
by M####:

I have been trying hard to get the latest version for 2018. When are updating your app?

M70%
by M####:

Ni nzuri sana na kumfanya mtu kuwa karibu na mungu kwani huweza kujua nini kinaendelea kaika suala zima la liturujia

M70%
by M####:

App ipo vizuri ila ni maboresho madogo madogo tu ITAPENDEZA kama na mafundisho ya Dini hata tafsiri mbali mbali ya DINI ikiongezwa

M70%
by M####:

Ni nzuri nimeipenda kwasababu inanipa hamasa ya kusoma neno la Mungu.... Mboreshe zaidi na zaidi

M70%
by M####:

Haijapendezea bado maan inaitaj nini ili ifunguke kwan kam mtandao upo lkin bado inakataa

Y70%
by Y####:

Ni sawa lakini weka mwaka A, B, C. Pia weka mpangilio wa zaburi vyema.

M70%
by M####:

Asante kwa jitihada zenu kutoa application ya Shajara . Mungu awabariki. Naona ingependeza zaidi kupata pia tafakari ya neno.

J70%
by J####:

Ni kitumizi kizuri sana. Kila mkatoliki anatakiwa kuwa nacho.

M70%
by M####:

Asanteni kwa kutuinjilisha, mimi na familia yangu. Gospel going smart :)

M70%
by M####:

I love it because it remainds me to read bible everyday. Real blissful. Congratulations for the idea.

M70%
by M####:

Iiko vzur sema inachelewa muapdate masomo ya sku huskika unakuta wimbo wa katikati tu kwa baadh ya sku

M70%
by M####:

Good application because it remind me every time to read words of GOD.

M70%
by M####:

Mnachelewa sana kuweka updates za masomo ya tarehe mpya.

M70%
by M####:

Mmejitahidi sana kwa mwaka 2017 ila hadi saa leo bado hamjaweka shajara ya 2018

J70%
by J####:

Nimeipenda, boresha kuwe na somo au ibada fupi kila jumapili

M70%
by M####:

penda sana kwa jinsi ilivyo na walivyoiandaaa hii shajala. asanteni sana

M70%
by M####:

Ni nzuri nimependa na inanihamasisha kufungua bibilia kwenye sim yang

X70%
by X####:

It's very useful, I have shared on whatsApp

C70%
by C####:

It's the best


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
4.65
711 users

5

4

3

2

1