StartMySafari

StartMySafari Free App

Rated 3.93/5 (44) —  Free Android application by StartMySafari

What are users saying about StartMySafari

F70%
by F####:

Ahsante walid ni nzuri sana na rahisi kukata tiketi

C70%
by C####:

Ila mbona hakuna option ya mabasi kama Dar - Arusha naona basi moja tu. Why?

E70%
by E####:

No more trouble upon buying bus tickets. Thank you Start my safari

N70%
by N####:

Stll incomplete app...almost kla mkoa kuna basi moja...!!?developers need to add and invite more company to join the app..

H70%
by H####:

Ni application Rahisi kueleweka nimefundishwa mara moja tu Na hivi sasa naweza kukata ticket mwenyewe tkanks walid

K70%
by K####:

Great job from Start my safari team..a real cool app

O70%
by O####:

I love it but, some thing missing, I wish if there was a list of bus names so that a client can choose from

X70%
by X####:

Ni nzuri kwa kutumia hongeraa sana

P70%
by P####:

Iko vizuri tulipaswa tufike huku kitambo..

M70%
by M####:

Kampuni za mabasi mbona ni chache?

B70%
by B####:

Haiwezekani liwe basi mojo kutoka dar kwenda moshi jipangeni upya

Q70%
by Q####:

Shukran sana walid the Application is awesome sasa leteni elimu kwa wingi huku vijijini!!!!

G70%
by G####:

Ongezeni idadi ya mabasi ( kampuni) Na mkiweza kuwe na picha za basi husika

S70%
by S####:

Ni app nzuri sana..ila iboresheni kwa kuongeza huduma nyingi za mabasi tofauti hasa Arusha na Mwanza

L70%
by L####:

Kazi nzuri mmefanya

T70%
by T####:

It's great app as it helps to avoid disturbance of making trips to go to the bus agents for ticketing

I70%
by I####:

Mko vizuri saana thans walid wibonela kwa kunijuza hili swala nme enjoy ustaarabu hu

U70%
by U####:

Asante sana Startmysafari, ticket za kugombania kwenda Mikoan msim wa sikuku itakuwa mwisho looh tulikuwa tunateseka sana kugombea ticket ubungo, yes I see changes in Tanzania

V70%
by V####:

I have tested,it and also two days past i have done so many online booking,using startmysafari,sure its so wonderful,i promise,not to leave it from today

D70%
by D####:

Can't believe kwamba leo hii Tanzania mtu anaweza kata tiketi yake ya Bus kwenda mikoani na unapewa huduma nzuri mpaka unapofika yes haya kweli maendeleo Big up to you guyz startmysafari.

W70%
by W####:

This is what we want. This is the changes and the development we need...... Special thankx to the app designer

Z70%
by Z####:

One of the best app kwa Tanzania tunahitaji elimu na Hamasa Zaidi kwa namna ya kuitumia

A70%
by A####:

Big up to the all the startmysafari team n all the people who kept more efforts on launching this system in our country,its really helpful..... Guys better go for this system ts really sumthing

R70%
by R####:

It's a good and a very helpful booking system in Tanzania. Many appreciatins to statmysafari Co. For simplifying Tanzanian lives. Love it.

J70%
by J####:

Ninzuri sana program hii lakini kuwe na maba mengi unachakua

Y70%
by Y####:

Thanks for the Services i really Apriciate kitu mnafanya thanks Walid

F70%
by F####:

Application matata sanaaa hii

C70%
by C####:

Ikopoa kabisa hamna haja ya kwenda kufanya booking

E70%
by E####:

Gotta tell a friend about it...u can now comfortably get a ticket from your bed and avoid all the hustle at the terminal

N70%
by N####:

Let us use it now.

H70%
by H####:

love it


Share Your Experience

  Login to post your comments

Badges

Free
downl.
Android
4.0+
n/a
Not
rated
Android app

Share The Word!


Rating Distribution

RATING
3.95
44 users

5

4

3

2

1