StartMySafari for Android
Good apps
Its good
App good
Poa
Nzuri
Good site
Awesome apps
Good apps
Safari Kisasa
nice try to make other services
Incredible
Nice app , i love it #IAmInspired #AndroidDeveloper
So fast and comfotable for booking bus tickets
HUDUMA YENYE UHAKIKA
Huduma nzuri sana
Safi Sana
Kiukweli swala Tanzania kutumia apps Kama hizi bado ila Elimu itolewe kwa kiasi cha juu zaidi ili mafanikio na maendeleo yaweze onekana kwa wakati sawa na nchi za wengine bila kusahau matangazo ya utumiaji wa App hii kwa wingi katika tv zetu ili zoezi liwe rahisi .Lakini hiki kiwe ni chanzo cha ajira pasipo ujanjaujanja ili zoezi liwafikie wengi kwa muda mfupi Asante start my safari company yangu ticket yangu mkononi mwangu mahali popote wakati wowote
Nzuri Sana itaondoa usumbufu wa wapiga debe
Hii inaepusha kutapeliwa na usumbufu kwa wasafiri...i really like it
Muongezeni na alama zionesshazo kiti kilichoadinasiwa na ambacho hakijaadinasiwa.
Route ya Manza, Moshi kupitia Arusha eti hakuna, najua kuna route zingine mnasema hakuna pia. Mnatakiwa mboreshe aisee
Inasaidia sana kuokoa muda sababu sina haja tena ya kwenda ubungo naweza nikakata ticket mahala popote
Lakini sio kampan zote za mabasi zinapatikana humu. Inakuwashida kwa baadhi ya safari. Unaambiwa hakuna basi wakati mabasi yapo.
IKO POA STILL NEED'S UPDATES ZA BAADHI YA MIKOA KAMA LUSHOTO HAMNA GARI... MTWARA NA KADHALIKA OTHERWISE IKO POA WAIBORESHE KWENYE THEIR NEW UPDATE.
Nice have it help me lot book at u r place great
I like this App, please add more routes. I try to look a route from DSM to BKB but no bus found on that App. Please let them know there is a new model of b'ness.
It's good service inayoniwezesha kubooking ticket mapema kabla ya safar yangu
Startmysafari its nyc services that help me to booking bus tickets popote nilipo siku kabla ya safari yangu na kuchagua seat nnayoipenda.
Imerahisisha kupata tiketi mkononi mwako, muda wowote na mahali popote.asante startmysafari..Tz kama ulaya vile...lol!!!
Hii app inabd muifanyie marketing ili watu wengi zaid waifaham...pia ongezeni mabus mengine ya kampuni ambazo bado hamjaingia nao mkataba....hngeren sana♡♥
It's easiest way of getting a Bus ticket.
tunahitaj apps zenye tija na manufaa kama hizi hongeren sana
Best use of technology for improving the standard of life. I love it.
Asante kwa kunipunguzia adha ya safari. Hii ni Tanzania mpya sasa.
Asanteni nyote mlio shiriki kuvumbua hii app Mme tupunguzia baadhi ya adha tulizokuwa tunakutana nazo
Hongereni kwa kutusogezea huduma karibu na kwa urahisi, ila ningeomba muongeze mabasi na njia pia maana kuna baadhi ya mikoa hamna huduma kama MORO NA TANGA, Asanten kazi nzruru
Hii ni moja ya mobile appl yenye tija ktk maisha ya watanzania. Huduma ya usafiri wa mabasi ni muhimu kuboreshwa kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Na StartMySafari mobile App inatoa majibu ya changamoto hizo hasa upatikanaji wa tiketi kisasa na urahisi zaidi. Kadri muda unvyokwenda, mabasi mengi zaidi yatapatikana kwenye database hii, na abiria atakuwa na nafasi yakuchagua basi apendalo, siti atakayo, kwa kadri mfuko wake unavyomruhusu!. StartMySafari Best travel Mobile App of the year!
It supports payments via Mpesa only thats a great failure, not true tht all customers use vodacom......nimeshindwa kulipia ticket kisa sina laini ya voda it should be checked for this inconvinience
Asate kwa tgo pesa pia
by V####:
Good