JATU

JATU Free App

Rated 5.00/5 (17) —  Free Android application by dukani technologies

Advertisements

About JATU

Jatu ni kampuni ya umma inayo unganisha wakulima maeneo mbali mbali Tanzania na kuwawezesha kulima kisasa, na baada ya mavuno kampuni inanunua mazao yote na kuandaa bidhaa ambazo huuzwa kwa wateja/wanachama moja kwa moja kwa mfumo wa masoko ya mtandao. Mfumo ambao unaondoa madalali katika biashara ya mazao na chakula. Kampuni imesajiliwa kwa mujibu wa sheria ya mwaka 2002 Tanzania kwa usajili namba 130452, kampuni imesajiliwa kama mlipa kodi kwa namba 132-718-008, pia kampuni ina leseni ya biashara yenye nambari 2357184. Bidhaa zote ambazo kampuni inauza, zimethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) kwamba ni chakula bora kwa matumizi ya binadamu.

Never Miss An Update!

Follow Android Blip on Facebook / Google+


How to Download / Install

Download and install JATU version 1.0 on your Android device!
Downloaded 100+ times, content rating: Everyone
Android package: erickjustin.application.jatu, download JATU.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
4.4+
For everyone
Android app

App History & Updates

What's Changed
modified user UI
Commission and Tress

What are users saying about JATU

C70%
by C####:

I can't download it i Don't know why! Can you Help me please

F70%
by F####:

Jenga Afya Tokomeza Umaskini

Y70%
by Y####:

Sponsor bana sina nawezaje kupata fursa kuweza kutumia hii apk kwa ajil i ya kukuza kilimo changu

J70%
by J####:

Will simplify our lives

R70%
by R####:

Msaada Wa kutokomeza umaskini

A70%
by A####:

Nafurahia sana kutumia Apps hii kwa kazi zangu za manunuzi na record zangu za matzo nikiwa ndani ya jatu

Z70%
by Z####:

Jatu Diana mbele

W70%
by W####:

Jatu mkombozi wetu

D70%
by D####:

JATU KILIMO VIWANDA NA MASOKO

V70%
by V####:

Nani kama jatu mi nafurahia sana kutumia Apps ya Jatu inarahisisha huduma zangu wakati nafanya manunuzi na mauzo.


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
5.05
17 users

5

4

3

2

1