Biblia Takatifu - Swahili Bible

Biblia Takatifu - Swahili Bible Free App

Rated 4.35/5 (3,335) —  Free Android application by ???? Igor Apps

Advertisements

About Biblia Takatifu - Swahili Bible

Biblia Takatifu ya Kiswahili (Swahili Bible)

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".

Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".

Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.

Agano la Kale
Kimsingi vitabu vya Agano la Kale ni vilevile vya Biblia ya Kiebrania, ingawa madhehebu ya Kikristo hutofautiana kidogo katika hilo. Ni kwamba wakati wa kutokea kwa Ukristo palikuwa na tofauti ndani ya Uyahudi kuhusu vitabu vilivyohesabiwa kuwa maandiko matakatifu. Suala hilo liliondolewa kuanzia mwaka 80 BK wataalamu wa Wayahudi wa huko Jabneh (Jamnia) walipochukua msimamo mkali dhidi ya wafuasi wa Yesu.

Kwa wakati huo Wakristo walikuwa wamezoea tayari toleo la Kigiriki la maandiko matakatifu yaliyotafsiriwa katika karne ya 2 KK ambalo linajulikana kwa jina la Septuaginta na kuwa na vitabu kadhaa visivyokuwa vimetunzwa katika lugha asili ya Kiebrania wala ya Kiaramu, au vilivyoandikwa moja kwa moja katika lugha ya Kigiriki.

Hivyo Biblia ya Kikristo ilikuwa na vitabu 7 (viwili vya Wamakabayo, Yoshua bin Sira, Hekima, Tobiti, Yudith na Baruku, pamoja na sehemu za Esta na Danieli) visivyokubaliwa baadaye na Wayahudi.

Vitabu hivyo 7 vikaja kukataliwa na Martin Luther katika karne ya 16, halafu na Waprotestanti wengi, lakini vinazidi kutumiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kwa jina la Deuterokanoni.

Agano Jipya
Kuna vitabu 27 vya Agano Jipya. Vinne vya kwanza ni Injili nne zinazoleta habari za maisha, matendo na maneno ya Yesu.

Vingine ni Matendo ya Mitume, Nyaraka za Mitume, hasa Mtume Paulo, na Ufunuo wa Yohane. The Holy Bible in Swahili (English Version)

The Christian Bible is a collection of sacred texts of Christianity. These texts range from the very old are called "books" only, inavyomaanishwa the word "Bible" is the plural of the Greek word "biblos" or "book".

Hutofautishwa and Tanakh, which is the sacred texts of Judaism and which probably refers to the same name of the "Bible", particularly in the Hebrew Bible versions. His books are in the first part of the Christian Bible in the name of "Old Testament".

The Christian Bible is divided as two parts which are the Old Testament and the New Testament. The Old Testament contains texts written before Jesus Christ and the New Testament books were written after it.

Old Testament
Basically the Old Testament is the Hebrew Bible as well, although Christian denominations differ little in it. It's that time of occurrence of Christianity there were differences within Judaism about vilivyohesabiwa books were Scripture. The issue was removed from the year 80 AD Jewish professionals in Jabneh (Jamnia) were taking a tough stance against the followers of Jesus.

At that time Christians were used ready version of the Greek section of the text translated in the 2nd century BC known by the name of the Septuagint and have several books to less reserved in the original languages ​​of Hebrew and Aramaic, or written directly in the Greek language .

So the Christian Bible was a book 7 (two of the Maccabees, Joshua son of Sira, Wisdom, Tobiti, Yudith and Baruch, as well as parts of Esther and Daniel) visivyokubaliwa later and Jews.

7 These books came to be rejected by Martin Luther in the 16th century, then by many Protestants, but rapidly applied to the Catholic Church and Orthodox in the name of Deuterokanoni.

NT
There are 27 books of the New Testament. The first four are the four Gospels diffuses biography, works and words of Jesus.

Some are Acts of the Apostles, the Epistles of the Apostles, especially Paul, and the Revelation of John.

How to Download / Install

Download and install Biblia Takatifu - Swahili Bible version 2.2 on your Android device!
Downloaded 500,000+ times, content rating: Everyone
Android package: tepteev.ihar.biblia_takatifu.AOURLCUBZSMVVVVE, download Biblia Takatifu - Swahili Bible.apk

All Application Badges

Good rating
Free
downl.
Android
4.0+
For everyone
Android app

App History & Updates

What's Changed
This app was overhauled, except for the main features you love - Biblia Takatifu (Swahili Bible). Added Daily Verse (DailyPsalm, Daily Gospel), Reading Plan (Bible in one Year, 180 Days and 90 Days and many others features.
Please note: we will not be able to save your current settings. Your bookmarks, font and others will not be saved.
Version update Biblia Takatifu - Swahili Bible was updated to version 2.2
Name changed  Name changed! Biblia Takatifu. Swahili Bible now is known as Biblia Takatifu - Swahili Bible.
Version update Biblia Takatifu - Swahili Bible was updated to version 1.0.3
More downloads  Biblia Takatifu - Swahili Bible reached 500 000 - 1 000 000 downloads

What are users saying about Biblia Takatifu - Swahili Bible

S70%
by S####:

Ni app nzuri sana hasa pale ninapoweza kutafuta maneno machache ninayo yakumbuka na app hunipeleka moja kwa moja kwenye hicho kitabu. ....TO ME THAT'S AWESOME. ...may God bless you guys..!!

Z70%
by Z####:

Up to here I have to thank you very much because you are so creative, and from now I don't have any thing to say about this app because every thing is in... God bless you...

S70%
by S####:

Well done. God bless you for this application, i can read bible anytime because it is offline application. Then challenge is in searching word, after getting it and read it in the specific book when i try to go back you have to search again.

S70%
by S####:

This is the best bible ever seen. Its well organized ,easy to tress chapters and verses and also easy to share. For sure this is the kind of bible I was looking for. Thank you very much and God bless you.

S70%
by S####:

Yohana 16:4-5,18:38-39 kuna maandiko yapo bold na hayaeleweki kama ni muendelezo wa andiko ama ni kichwa cha habari,Ninaomba fanyeni marekebisho.App ni nzuri sana.

S70%
by S####:

Excellent app ,i've enjoyed the access to the bible , i recomend futher upgrades to get even better especially the highlights acces when scrolling the touch is too fast to command cancel or delete options

S70%
by S####:

It's the best Swahili Bible App ever. I can now seach for a word I need, I can prepare a program that helps me to read the whole Bible throughout the year, highlight the text, share the verses with friends through sms, whatsapp, facebook etc. And its very simple now to search for a book, chaptet and the verse directly; and many more. 5 stars to you!!!

S70%
by S####:

Nice but some improvement s are needed also add other books which where excluded like sira

S70%
by S####:

So good, God bless you for this wonderful app. Now I carry my bible everywhere in my pocket.

C70%
by C####:

You have done a great job! Yet you should use proper swahili words in setting

S70%
by S####:

Ni nzuri ya kisasa inafaa sana kwa matumizi .Ongeza vitabu viwe 72

O70%
by O####:

I think its the best book out of all Swahili bible apps I read

S70%
by S####:

So far the app as been very helpful making my time with the word of God more easier & enjoyable. I love it. Thanks to the developers, God bless u in Jesus name. Amen.

S70%
by S####:

Ni nzuri na ni rahisi kutumia na kuweka kumbukumbu kwa Neno ninalopenda, Mungu awabariki sana

S70%
by S####:

Hakika hii ndiyo Biblia ambayo imenisaidia sana katika usomaji wangu na uelewa wa neno la Mungu. App hii yafaa sana kwa watumiaji wa Biblia ya Kiswahili maana haina utofauti na ile ya kawaida ya Kitabu. Asanteni sana.

T70%
by T####:

I really like it, easy to use, highlight tool and more functions are available. I do recommend this.

O70%
by O####:

App ni nzuri sana. Imetulia. Usiongeze idadi ya vitabu. Biblia inakamilishwa na vitabu 66 tu

C70%
by C####:

KWA SASA SINA CHA KUSEMA ILA IMEKUAMSAADA MKUBWA SANA KWANGU,MBARIKIWE SANA.

S70%
by S####:

Ninaipenda kwa kuwa unaweza kutafuta mstari wwte wa biblia hata kama hukumbuki nani aliandika.

S70%
by S####:

Helpful. It helps me to get verses and words easily

S70%
by S####:

Good app. Am like coz this bible is very good look and leading for everytime. Am reary i like this bible.

D70%
by D####:

I enjoy it but many adds displays when reading words of God reduce concentration

Z70%
by Z####:

Nice one! I love it, you have done a good GOD's job and the hand of GOD be on you. Be blessed on JESUS name.

R70%
by R####:

Ipo vizuri ina vichwa vya habari, nina uwezo wa kutafuta neno na nikalipata, hongereni sana.

S70%
by S####:

Cool App????easy to find in books, i love the search space. I can say its well designed

S70%
by S####:

This is good for me it's nice app

S70%
by S####:

Good app but many adds that sometime interfere concetration when reading the word of God

S70%
by S####:

Asanten sana kwa hii package,kiukweli inaniongezea molari ya kusoma neno mara kwa mara

S70%
by S####:

Iko vizuri sana Mungu ni mwema Mbarikiwe sana

K70%
by K####:

Mungu akubariki sana kaz ya mikono yko programmer na hili ulitendalo

S70%
by S####:

It's so hopeful especially this Swahili version as you know there is no other Swahili Bible like this,

S70%
by S####:

Nimebarikiwa sana na hii bilia mungu awabariki mno

S70%
by S####:

It's so nice. May God bless you all.

D70%
by D####:

The app is nice, having subtitles makes it more easy for me to learn lessons I need

C70%
by C####:

I can't highlight three or four verses! Can you help me?

X70%
by X####:

Iko vizuri.. sasa naweza weka vufungu ambavyo naweza kujisomea wakat mwingine.

R70%
by R####:

Biblia nzuri sana.. Inasaidia kupata unacho kitafuta bila ya hitifaki

C70%
by C####:

Naipenda sana biblia hii kuliko zote nilizowahi kutumia Mko vizuri Mungu awabariki

S70%
by S####:

Ni Mojawapo ya application nzuri sana na inayofaa sana.... Mungu awabariki......kwa kazi hii

S70%
by S####:

I real like it inasaidia sana, Mungu wa mbinguni awabariki sana.


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
4.45
3,335 users

5

4

3

2

1