Soka for Android
boresheni kwenye updates coz haiendani na wakati uliyopo kwa mfano mechi zinaendelea lkn inaonekana ratiba tu!!!
Sasa ufuatiliaji wa soka la bongo ni rahisi zaidi. Application hii si ya kuikosa kabisa.
thanks to have answered my questions
Hongereni kwa maboresho.
Kazi njema wahandisi
Big up nice app ever
Safi sana
Is not working
The app is good i like it
by C####:
asee bora mmefanya kweli maana ile ya mwanzo imekuwa haifunguki kabsa big up sana