Tenzi za Rohoni

Tenzi za Rohoni Free App

Rated 4.85/5 (33) —  Free Android application by Robert Londo

Advertisements

About Tenzi za Rohoni

Tenzi za Rohoni app inakuwezesha kupata tenzi za rohoni kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

App hii ina nyimbo 138 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za Tenzi za Rohoni. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi, unaweza kusoma bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Wakolosai 3:16

FEATURES
★ Tenzi za Rohoni 138
★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi za rohoni.
★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi za rohoni
★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo pendwa

Never Miss An Update!

Follow Android Blip on Facebook / Google+


How to Download / Install

Download and install Tenzi za Rohoni version 1.7.0 on your Android device!
Downloaded 10,000+ times, content rating: Everyone
Android package: tz.co.wadau.tenzizarohoni, download Tenzi za Rohoni.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
4.0.3+
For everyone
Android app

App History & Updates

What's Changed
★ Tablet support
★ Ala zimeongezwa kwenye tenzi zifuatazo
-6 Baba, Mwana, Roho
-23 Ni salama rohoni mwangu
-56 Ni sikukuu siku ile
-76 Njoni, enyi wa imani
-77 Msalabani pa Mwokozi
-89 Kwa Kalvari

What are users saying about Tenzi za Rohoni

S70%
by S####:

Asha

G70%
by G####:

Tanks

Q70%
by Q####:

Mbarikiwe

B70%
by B####:

Application hii imekuwa msaada mkubwa Sana kwangu na kwa marafiki pia, sababu imekua rahisi kutafuta tenzi yeyote kwa njia rahisi zaidi. Karibu sana kupakua na kulitukuza jina la Kristu Yesu.

M70%
by M####:

Simple and clean

P70%
by P####:

Ni nzuri na Inasaidia sana

X70%
by X####:

Awesome

O70%
by O####:

Nimeipenda

K70%
by K####:

I love it,especially the the new features of listening to the songs,hope mtaongeza sound kwa nyimbo ambazo hazina

H70%
by H####:

Good job

N70%
by N####:

Its nice app

E70%
by E####:

Nzuri sana sana Mungu awabariki sana

C70%
by C####:

Have beats on all the songs and do likewise for Golden Bells

F70%
by F####:

Nafurahia ala bila intanet full offline hadi raha

Y70%
by Y####:

Safi sana ila tunaomba utuwekee Toni kwenye nyimbo zote

J70%
by J####:

Kwa kweli App hii ni nzuri sana,, na ni rahisi kuitumia

R70%
by R####:

Thans mr Robert 4 this job be bless en peace be upon you asante

A70%
by A####:

Ni nzuri şąñą Mungu awainue kufanya hivi ila itakuwa nzuri sana kama mtaweka beat kwa nyimbo zote.

Z70%
by Z####:

Hongera sn Kaka kwa kazi nzur,Mungu azidi kukubariki.


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
4.95
33 users

5

4

3

2

1