Katiba ya Tanzania

Katiba ya Tanzania Free App

Rated 4.20/5 (780) —  Free Android application by Rightclick Apps Tanzania

Advertisements

About Katiba ya Tanzania

Katiba ya Tanzania ni offline applicaion ambayo inakuwezesha kusoma katiba ya Tanzania inayotumika sasa huku ukiweza kushare na jamii yako kupitia mitandao ya kijamii, barua pepe, sms za kawaida nk.
Katika mchakato wa kupata kaatiba mpya hii ya sasa inabidi kwanza ieleweke vizuri sana miongoni mwa watanzania Constitution of Tanzania is offline applicaion that lets you read the constitution of Tanzania used now while you can share with your community through social networks, email, sms routine etc..
In the process of getting new kaatiba this current must first be understood very well among Tanzanians

How to Download / Install

Download and install Katiba ya Tanzania version 1.06 on your Android device!
Downloaded 100,000+ times, content rating: Everyone
Android package: tz.co.yetu.katiba.katiba, download Katiba ya Tanzania.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
2.2+
For everyone
Android app

App History & Updates

What's Changed
Matangazo yameondolewa pia tatizo la kuonesha kama kuna virus pia halipo tena
offline application
inakaa kwenye memory card kama unayo hivyo sio tatizo kwako kwa upande wa memory ya simu
FORUM hai ipo sasa jumuika EXPOSE katiba unaipata kupitia JADILI
Nembo mpya
More downloads  Katiba ya Tanzania reached 100 000 - 500 000 downloads
More downloads  Katiba ya Tanzania reached 50 000 - 100 000 downloads

What are users saying about Katiba ya Tanzania

C70%
by C####:

Uwezo wa kurud nyuma sio mpaka uwe juu kwenye icon yenu, nikibonyeza rud nyuma iweze rud nyuma. Nawapa 3 sababu inaudhi

C70%
by C####:

Ongeza lugha ya kiingereza ziende sambamba na hiyo app. Uwepo uwezo wa kuhama lugha ndani ya app 1

T70%
by T####:

Hapa sasa watu wanaweza kujua haki zao viganjani mwao NB kwa wale wanaopenda kusoma

C70%
by C####:

Kazi nzuri. Kwa wanaotaka ya kiingereza wanaweza kuipata elsewhere. Just search the playstore.

M70%
by M####:

very very good app for knowing our rules...... bt kama inawezekana tuwekeen na App ya sheria za kaz itakua poa sawa, maan tunafichwa na kuonewa mambo meng huko makazn hususan ktk sector binafs na kwenye makampun

M70%
by M####:

imekaa poasana nawashangaa wanao sema iongezewe ruga nyingine iyo ipo kwaajili ya wa tanzania naina faa kubaki kwa kiswaili pekee nasi kabira jingine

M70%
by M####:

Tena napenda kuishauri serikari ya Tanzania itoe nakala nyingi iwezekanavyo ili kila mwenye uhitaji aweze kuipata kwa bei elekezi ya serikali

C70%
by C####:

Napenda kuwahamasisha waTz wenzangu kup akua app hii sababu Katba ndyo kila kitu katika maisha yt

P70%
by P####:

Ni vizuri kwa kila Raia wa Tanzania kujua katiba yetu.

W70%
by W####:

Katiba hii itumeke ktk kuwawajibisha viongozi wote wa uma wanaokiuka maadili uongozi hatakama ni Rais.

M70%
by M####:

Ongeza lugha ya kiingereza ziende sambamba na hiyo app. Uwepo uwezo wa kuhama lugha ndani ya app 1

S70%
by S####:

Ni vema tungeweka option kwani watu na inatupendeza zaidi kuwa na katiba yenye uwazi ahsanteni

E70%
by E####:

ninzuri saana ijapokuwa haina manufaa kwa undani lakini angarau tunaweza kujiona na kujifahamu wapi tunakosewa au tunaendeshwa vp ? na kujiuliza je ni watanzania wangapi wana uwezo wa kumiliki smartphone kwaajili ya kupata katiba kama mimi na wewe? je nikweli tulio wengi tunaisoma na kuifahamu? nimefurahi saana kuona tunaweza sana kwenye upande wa digital ili tupunguze vitabu makabatini .

J70%
by J####:

Hii ni app nzuri sana na yenye umuhimu usio na kifani kwa kila mtanzania.

M70%
by M####:

Tunahitaji kila mtanzania aweze kuipata.Tufahamu kila kitu kuhusu nchi yetu.

M70%
by M####:

Hii application ni nzuri ila ingekamilika kabisa ingependeza zaidi

Z70%
by Z####:

Nzuri ifuatwe hususani jeshi la polisi, lichunge haki za binadamu.

C70%
by C####:

Thanks much for giving out this book so that every Tanzanian can read on his/her time and hence acquire knowledge.

A70%
by A####:

Ni nzr ila hayo maandishi mnge bold yaweze kuonekana vizuri

E70%
by E####:

Nimeipenda sana hii Apps ya katiba kwakweli nawapongeza saana ,imenisaidia mimi nisiyejua kingereza kwa ufasahaa niitumie hii kujua mambo ya msingi katika Taifa langu, good

C70%
by C####:

Tanzania nakupenda nchi yangu

R70%
by R####:

Naweza jua mambo mengi pitia hii kitu

Y70%
by Y####:

MUNGU ibariki Africa ,ibariki TANZANIA

T70%
by T####:

Mmi nimeipenda kwasababu ninajua Akiyangu ya katiba

C70%
by C####:

Aisee kitu kipo bomba hongera sana rais wetu kwa kuisimamia katiba hii

C70%
by C####:

.mnajtahid kurahisisha mamboz!

G70%
by G####:

Its a good one. Tatizo haina option ya lugha,imebase ktk kiswahili zaidi na kusahau kwamba English still a mother language ktk legal affairs Tanzania na kingine ingekuwa atleast inaweza kusomeka ktk lugha nne au tano zakimataifa.

J70%
by J####:

Actually is Good

X70%
by X####:

Help me to know my responsibility

X70%
by X####:

Hii application ni nzuri ila ingekamilika kabisa ingependeza zaidi

X70%
by X####:

iko poa, meipenda sana hii app.

X70%
by X####:

Ni nzuri nimeupenda naipa nyota za kutosha, tunaweza

X70%
by X####:

naipenda nchi yangu.

X70%
by X####:

haya ndo mapinduzi tunayoyataka.....safi sana katiba mikononi mwako.....

X70%
by X####:

Katiba inayope dekezwa is missing, upload the app if available

X70%
by X####:

Nimefarijika kuona app ya kitanzania

N70%
by N####:

Ahsante kwa kutufahamisha haki zetu za msingi na wajibu wangu pia

M70%
by M####:

Nimependa kuikuta katika humu,imani yangu watanzania tutaifahamu vizuri tu.

X70%
by X####:

Uzalendo kwanza fahamu haki na wajibu

O70%
by O####:

App Ipo poa sana Kwa mwongozo wangu wa sheria mama ya nchi yangu


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
4.25
780 users

5

4

3

2

1