Majina Mazuri Ya Allah

Majina Mazuri Ya Allah Free App

Rated 4.27/5 (26) —  Free Android application by Mahmoud Al-Asmi

Advertisements

About Majina Mazuri Ya Allah

بسم الله الرحمن الرحيم

Kwa Jina La Mwenyezi Mungu Mwingi Wa Rehema Mwenye Kurehemu

Mwenyezi Mungu S.W.T. katuamrisha sisi Waislamu katika Kitabu Chake, Qurani Tukufu, tumuombe kwa kutumia majina Yake. Kama alivyosema katika Suratil Israa aya ya 110, “

قُلْ ادْعُوا اللَّهَ أَوْ ادْعُوا الرَّحْمَانَ أَيًّا مَا تَدْعُوا فَلَهُ الأَسْمَاءُ الْحُسْنَى…

Maana yake, “Sema: “Mwombeni Allah (Mwenyezi Mungu), au mwombeni Rahman (Mwingi wa Rehema), kwa jina lolote mnalo mwita. Kwani Yeye ana majina mazuri mazuri…”

Pia Mwenyezi Mungu S.W.T. kasema katika Suratil A`araaf aya ya 180, “

وَلِلَّهِ الأَسْمَاءُ الْحُسْنَى فَادْعُوهُ بِهَا وَذَرُوا الَّذِينَ يُلْحِدُونَ فِي أَسْمَائِهِ…

Maana yake, “Na Mwenyezi Mungu ana majina mazuri mazuri; muombeni kwayo. Na waache wale wanaoharibu utakatifu wa majina Yake…”

How to Download / Install

Download and install Majina Mazuri Ya Allah version 1.0 on your Android device!
Downloaded 10,000+ times, content rating: Everyone
Android package: com.Asmi.majinamazuriyaallah, download Majina Mazuri Ya Allah.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
2.2+
For everyone
Android app

App History & Updates

More downloads  Majina Mazuri Ya Allah reached 10 000 - 50 000 downloads
More downloads  Majina Mazuri Ya Allah reached 1 000 - 5 000 downloads

What are users saying about Majina Mazuri Ya Allah

I70%
by I####:

Masha Allah

G70%
by G####:

For the good app.

X70%
by X####:

Nimekua nikiitumia hata nikiwa ofisini kwangu Allah awajaalie mwisho mwema insha allah

U70%
by U####:

Nimeipenda jazaka lau kheir

X70%
by X####:

Nzuri sana inaelimisha

X70%
by X####:

Top reward

H70%
by H####:

Jazakallah..khaira

C70%
by C####:

Dos'nt open

C70%
by C####:

Inshallah mola atupe mwisho mwema


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
4.35
26 users

5

4

3

2

1