Simulizi Za Sauti

Simulizi Za Sauti Free App

Rated 4.51/5 (180) —  Free Android application by developict

Advertisements

About Simulizi Za Sauti

Simulizi Za Sauti inakuwezesha kusikiliza hadithi kutoka kwa waandishi mashuhuli. Sasa kupitia simu yako ya mkononi, unaweza kupakua na kufurahia stori tamu zenye mafunzo na kufurahisha wakati wowote na ukiwa mahali popote.

How to Download / Install

Download and install Simulizi Za Sauti version 1.0.0.2 on your Android device!
Downloaded 50,000+ times, content rating: Everyone
Android package: com.hadithi.simulizi, download Simulizi Za Sauti.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
4.0+
Bug
buster
For everyone
Android app

App History & Updates

What's Changed
- Bug fixes
- Improved Functionalities
Version update Simulizi Za Sauti was updated to version 1.0.0.2
More downloads  Simulizi Za Sauti reached 50 000 - 100 000 downloads

What are users saying about Simulizi Za Sauti

R70%
by R####:

Nimependa utangazaji huu

R70%
by R####:

Nzuriiiii kupita kiasi

E70%
by E####:

iko pow

A70%
by A####:

Good one

R70%
by R####:

Best app for simulizi ever

R70%
by R####:

Hatare

M70%
by M####:

Thanks

R70%
by R####:

Love

Q70%
by Q####:

Cool

X70%
by X####:

Good

R70%
by R####:

Hii application ni kama fake kwasababu kila nikijaribu Ku log in. Munaniambia "tatizo LA mtandao". Wakati network yangu IPO stable. """ siwaelewi"""

D70%
by D####:

Very good for the app and I am not sure if you are interested in the position of your abbreviated

R70%
by R####:

customer support is very poor. Karibia miezi miwili sasa nimekuwa nikiomba msaada wa kubadilishiwa password ila mpaka sasa bado hawajanisaidia. Nikitumia app kurest password inasema password ishatumwa ila nikiangalia email sikuti chochote kutoka kwao. Akaunti yangu ina fedha na nahitaji kusikiliza hadithi ila nashindwa kupata haki yangu. Hili suala linaniudhi sana. Sikutaka kuweka review kama hii ila imebidi baada ya kuona hakuna msaada wowote. Email yangu ya kwanza ilijibiwa baada ya mwezi mzima. My one star is for CUSTOMER SUPPORT. Mengine yapo sawa na nina furaha nayo. @developict mnahitaji kujirekebisha kwenye hili.

R70%
by R####:

Dah nmependa sana yan,,lkn FEDHEA kuna gazet flan nliionaga hii story kuanzia kipande cha kuulixwa kuwa km mwanza anamarafiki akat yy hajui chochote kuhusu mwanza,,nmeshangaa kidogo,,ANYWAY NMEPENDA SANAAA

R70%
by R####:

mbona app yenu ingoma kulog in inanambia huwezi kulogin kwa simu zaid ya moja akat mimi nalogin kwa cm yngu ileile

R70%
by R####:

No proper management, theft to customers

D70%
by D####:

Mbona inagoma kulogin Inasumbua kweli eti email imerudiwa Kwan hii app lazima utumie email ngapi

L70%
by L####:

Kwa hapa nimepatika,pongezi kwenu waandaaji wa kazi hii

L70%
by L####:

Ni nzuri rekebisha na rahisisha njia ya malipo

R70%
by R####:

Ukidowd hadithi inabak huk kwa application haijitengenezei file

R70%
by R####:

Mko vizur jaman

R70%
by R####:

Application hii ni Nzuri sana. Naipenda sana.

W70%
by W####:

Iko vzr ila inagoma kuload story

R70%
by R####:

Mnatakiwa kila siku muweke story mpya

G70%
by G####:

provide more information about the payment method

R70%
by R####:

Hii app iko powa kweli,

F70%
by F####:

App iko bomba sana sema huwez ku share hizi audio....????????????

C70%
by C####:

Pongezi kwa app hii

W70%
by W####:

Iko powa ila kuna baadhi ya simulizi nifupi je hazina mwendelezo kama vile mzikaji.;

R70%
by R####:

Hongereni kwa app nzuri but short stories zipo chache sana, alafu kuna msomaji mmoja anazngua sana (Alexander Luhundwa) ningeomba abadili namna ya usomaj wake (usomaji wake unaboa). BigUp sana kwa Maxmillian Magege namkubal sana. All in all app yenu napenda sana lazima nisikilize story kila siku but mm nmpenzi wa short stories sana

J70%
by J####:

Ni app nzuri kwa ujumla ila toka nibadalishe simu, nimeshindwa kungia kwakutumia google mail nilioitumia kwa usajili mwanzo, naomba msaada juu ya yahilo

H70%
by H####:

Story ndefu nazo ziwepo jaman ata ukiwa una safiri umbal mrefu stor mbili zina kufikisha .. Ni hayo tu.

D70%
by D####:

nzuri saana alafu wekeni bei kwa tunaotaka kudownload hadithi zote za app tangu mwanzo had leo

A70%
by A####:

App yenu kwenye samsung note 11 hazfunction mda wote unfortunetly support zboreshen app zenu

R70%
by R####:

Usimuliaji ni mzur. Sijutii nikilipia. ????

E70%
by E####:

App iko vizuri sana sijutii kuipakua nimeipenda

F70%
by F####:

Ili nisajiliwe natakiwa nifanyeje sielewi

U70%
by U####:

Naitaji kujua kwa mm niliye nje ya nchi nalipia vipi

E70%
by E####:

Iam abdul magidy

R70%
by R####:

Atari Sana hii app mliua ????????????


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
4.55
180 users

5

4

3

2

1