Kinga ya Muislamu

Kinga ya Muislamu Free App

Rated 4.56/5 (216) —  Free Android application by Mahmoud Al-Asmi

Advertisements

About Kinga ya Muislamu

 
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمن الرَّحيم

Kwa Jina La Mwenyezi Mungu Mwingi Wa Rehema (Duniani) Mwenye Kurehemu (Akhera)
 
UTANGULIZI
Hakika sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, tunamsifu, tunamuomba msaada na tunamuomba maghfirah, tunamuomba Atuhifadhi na shari za nafsi zetu, na maovu ya matendo yetu. Anayemuongoza Mwenyezi Mungu hapana wa kumpoteza, na Anayempoteza, hapana wa wa kumuongoza.  Nakiri kwamba, hapana apasaye kuabudiwa ila Mwenyezi Mungu, hali ya kuwa peke Yake, hana mshirika, na ninakiri kwamba Muhammad ni mja Wake na ni Mtume Wake. Mwenyezi Mungu Amrehemu na Awarehemu jamaa zake na Maswahaba zake na wanaowafuata hao kwa wema mpaka siku ya malipo na Amsalimishe kwa amani nyingi.
Baada ya yaliyotangulia huu ni ufupi (Mukhtasar) wa kitabu kiitwacho “HISWN AL-MUSLIM MIN ADHKAAR AL-KITAAB WA SUNNAH”
Ninamuomba Mwenyezi Mungu kwa majina Yake mazuri, na sifa Zake zilizo juu, Ajaaliye kazi hii kuwa, imesafika  lengo lake, kwa kutaka radhi zake Mwenyezi Mungu Mtukufu, na Aninufaishe kwa hayo katika uhai wangu huu, na baada ya kufa, na Amnufaishe atakayekisoma, kukichapisha, au aliyekuwa ni sababu ya kukitawanya, hakika  Yeye  Mwenyezi Mungu Ndiye  Muweza.
Mwenyezi Mungu Amrehemu Mtume wetu Muhammad صلى الله عليه وسلم na Aali zake na Maswahaba wake na wanaowafuata hao, kwa wema mpaka siku ya malipo.

How to Download / Install

Download and install Kinga ya Muislamu version 1.0 on your Android device!
Downloaded 50,000+ times, content rating: Everyone
Android package: com.kinga.book.AOUTPDNMXEZAAPHOGH, download Kinga ya Muislamu.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
1.6+
For everyone
Android app

App History & Updates

More downloads  Kinga ya Muislamu reached 50 000 - 100 000 downloads
More downloads  Kinga ya Muislamu reached 10 000 - 50 000 downloads
More downloads  Kinga ya Muislamu reached 5 000 - 10 000 downloads

What are users saying about Kinga ya Muislamu

V70%
by V####:

Allah help us

G70%
by G####:

kwa kazi yenu nzuri

D70%
by D####:

Allah akubarik kila la kheyr

D70%
by D####:

I like it maashaaalllah

A70%
by A####:

Jazakum llah

D70%
by D####:

Allah awazidishie

C70%
by C####:

Bhai's

N70%
by N####:

to allah and who created it

G70%
by G####:

Masha allah

C70%
by C####:

Thanks for the good application

G70%
by G####:

MashaAllah

H70%
by H####:

Mashaallah

J70%
by J####:

Allah help us

B70%
by B####:

Tatizo cwezi share na mtu ni vema uiboreshe ili nishirikiane na ndugu

Z70%
by Z####:

to allah and who created it

S70%
by S####:

It's very good

C70%
by C####:

Thank you for this app

P70%
by P####:

Alihamdulillah mungu akuzidishi

U70%
by U####:

Ilike it

S70%
by S####:

Abumau

U70%
by U####:

I love this app, thank you.

U70%
by U####:

Barakallahu fiik

D70%
by D####:

I suggest the topics should be arranged in Numbers [1, 2, 3, ....] Nashauri vipengele vipangwe kwa Tarakimu (Namba).

X70%
by X####:

Jazakumullah khayr.

S70%
by S####:

Am proud to be a Muslim

L70%
by L####:

ALLAH barik...

A70%
by A####:

Mashaallah

C70%
by C####:

Gud

D70%
by D####:

Alhamdulillah

V70%
by V####:

Hakika mungu awape hifadhi kwa kujitoa kuendeleza din ya haki

D70%
by D####:

Ma-sha-Allah, App yenye manufaa kwa waislam.natufanye matumizi sahihi ya utandawazi na mitandao ya kijamii.

D70%
by D####:

Hii nimeipenda sana

D70%
by D####:

Application hii Muhimu

D70%
by D####:

alhamdulillah

D70%
by D####:

Barakallahu fiik

E70%
by E####:

Jazakumullahu khayr ya ikhuwa!...what I would like to request now is to put transliteration! ..may Allah bless and forgive you.

U70%
by U####:

Mtuwekee na hadithi kwa kiswahili

U70%
by U####:

Good for humans

M70%
by M####:

Inshaallah Mwenyez Mungu akapAte wajaalia walioandaa hii Apps ili tupate kuusongesha mbele Uislam wetu INSHAALLAH. .

J70%
by J####:

Allah help us


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
4.65
216 users

5

4

3

2

1