Shajara

Shajara Free App

Rated 4.50/5 (184) —  Free Android application by Yethroy Jerome

Advertisements

About Shajara

Shajara ni mfumo unaokuletea masomo ya misa ya kila siku na sala mbalimbali za kanisa katoliki kiganjani mwako ili uweze kusoma neno la Mungu kila siku na pia kusali kumuomba na kumshukuru Mungu wakati wowote na mahali popote.

How to Download / Install

Download and install Shajara version 1.1.2 on your Android device!
Downloaded 10,000+ times, content rating: Everyone
Android package: tk.shajara.shajara, download Shajara.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
4.1+
For everyone
Android app

App History & Updates

What's Changed
- Marekebisho kwenye tarehe
Version update Shajara was updated to version 1.1.2
More downloads  Shajara reached 10 000 - 50 000 downloads

What are users saying about Shajara

D70%
by D####:

Shajara ni njia rahisi ya kusoma na kulitafakari Neno la Mungu, ina nisaidia kuandaa masomo ya misa kwenye Biblia badala ya kwenda kanisani au jumuiya nakuvizia msomaji ataje somo linatoka wapi ndio uanze kupekua kurasa, Endeleeni kuboresha upande wa sala na Nyimbo.Mungu awabariki Amina.

Q70%
by Q####:

Nafurahia kupata masomo ya misa kiurahisi na katika lugha ninayoielewa vyema. Jitahidi utengeneze iwe na masomo na sikukuu za mwaka mzima.

N70%
by N####:

Asante sana kwa kazi nzuri ya LITURJIA. Itakuwa nzuri zaidi ikiboreshwa ikawa inapatikana OFFLINE, nakuwa UPDATED.

S70%
by S####:

Thank. It helps a lot... God bless

D70%
by D####:

It's a good app but it will be much better if u remove adds

D70%
by D####:

Ni zaidi ya nzuri

J70%
by J####:

I can now have the Daily Readings in Kiswahili ,However you need to improve on the Gospel Acclamation as I have two other Apps in English of which the Gospel Acclamation is different from the Kiswahili version but it's not a big deal as I can change it anytime .Anyway Keep up the good work

W70%
by W####:

God bless brother for the good work you have done to glorify Him..

D70%
by D####:

Nzuri. Iboreshwe zaidi. Baadhi ya maneno yamekosewa vizuri, lakini naamini itazidi kuwa nzuri.

X70%
by X####:

Iko vizuri sana ,napi nadhani kukosea kwa baadhi ya mambo kwenye shajara ya mwaka huu,Imani yangu ya mwakani itakuwa vizuri .

D70%
by D####:

Jamani fanyieni kazi views za watu tunaomba mjitahidi iwe off line

D70%
by D####:

It's amazing good work, but some words are not correct

V70%
by V####:

Nimeipenda ila Sala zipo chache pia isiwe ya internet kiukweli ni nzuri

D70%
by D####:

Mounyeshe siku kama ni sikukuu ya mtakatifu...

D70%
by D####:

Inarahisisha sana kupata masomo na sala za kila siku.

D70%
by D####:

Thanx for a nice application which enables us to have daily readings and reflection of the readings. God bless you. Amen.

D70%
by D####:

Tupate masomo ya siku 2 kabla tarehe husika ili mtu ajiandae

E70%
by E####:

God bless you

D70%
by D####:

May God bless you... Good app

D70%
by D####:

Stay blessed for this good work

D70%
by D####:

Njema sana....

W70%
by W####:

Nzuri!

Q70%
by Q####:

Safi sana

D70%
by D####:

Tc cool

D70%
by D####:

Mbarikiwe

C70%
by C####:

Nzuri

C70%
by C####:

Nzuri

D70%
by D####:

Nice

D70%
by D####:

Nice

D70%
by D####:

Nice

D70%
by D####:

Watu Wa Mungu mbarikiwe sana kwa kuandaa hii kazi maana ni neema tosha kutoka kwake Bwana. Asanteni sana.

D70%
by D####:

Post za masomo ya kesho kutwa ni mhimu sana mfano ya ijumaa yanatakiwa na ya jumapili yaonekana maana tunayatumia kwenye jumuiya siku ya jumamosi masomo ya jumapili

D70%
by D####:

Adds kama inawezekana mziondoe

D70%
by D####:

Imekuwa msaada mkubwa kwangu

E70%
by E####:

Good Job

D70%
by D####:

Shajara

Y70%
by Y####:

Mungu awazidishiee sana wote mliotumia mda wenu kuandaa hii

Y70%
by Y####:

Mungu awazidishiee sana wote mliotumia mda wenu kuandaa hii

X70%
by X####:

Wekeni pia iwe inafunguka Offline (pasipo kifurushi cha data)

X70%
by X####:

Very nice app I really love this. Keep it up.


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
4.55
184 users

5

4

3

2

1